IKEDA 3 in 1 Laundry Detergent Pods

Min order ( 1 )
Tsh 15000

IKEDA 3 in 1 Laundry Detergent Pods ni sabuni ya kufulia yenye kinga dhidi ya bakteria na wadudu wadogo wa vumbi (mites), ni sabuni yenye nguvu,  husaidia kusafisha nguo kwa kina, kuondoa harufu zisizopendeza na kuziacha nguo zikiwa laini, safi na zenye harufu nzuri inayodumu kwa muda mrefu. Ipo kwenye mfuko wa plastiki wenye pod 30. 

IKEDA 3 in 1 Laundry Detergent Pods inapatikana kwa bei poa! tunafanya delivery!

Call / Whatsapp: +255 786 518 491


(Badili au acha idadi iliyopo hapa)