LENOR Fabric Conditioner

Min order ( 1 )
Tsh 28000

LENOR Burst of Freshness Fabric Softener ni fabric softener ya nguo yenye manukato ya kifahari ya Exotic Bloom na Moonlight Lily yanayoacha nguo zikiwa laini, safi na zenye harufu nzuri inayodumu siku nzima. Husaidia kulainisha vitambaa, kupunguza mikunjo na kufanya nguo zako ziwe na hisia ya ubora wa kipekee kila unapozivaa. Kifurushi hiki kina uwezo wa kutumika hadi kufua mara 26.


Lenor Fabric Softener inapatikana kwa bei poa !

Call / Whatsapp: +255 786 518 491 



(Badili au acha idadi iliyopo hapa)