LENOR Burst of Freshness

Min order ( 1 )
Tsh 28000

LENOR Burst of Freshness yenye manukato ya Cherry Blossom na Rose Water. Ina uwezo wa kutumika kwa kufua hadi mara 26.

inafanya nguo zako ziwe za kuvutia huku zikiwa zenye harufu nzuri inayodumu kwa muda mrefu. Mchanganyiko wa harufu ya maua ya Cherry Blossom na utulivu wa Rose Water huleta hisia ya ufreshi na kifahari kila unapovaa nguo zako. 


Inapatikana sasa kwa bei poa! pia tunafanya delivery!
Call / Whatsapp : +255 786 518 491


(Badili au acha idadi iliyopo hapa)