FAIRY ORIGINAL

Min order ( 1 )
Tsh 38000

FAIRY ORIGINAL ni fabric softener inayopendekezwa namba moja kwa watoto wadogo, ngozi laini na ngozi nyeti. Ina uwezo wa kutumika hadi kufua mara 46. 

Husaidia kulainisha nguo, kupunguza mikunjo na kuziacha zikiwa na harufu safi na ya kupendeza.


FAIRY ORIGINAL inapatikana kwa bei poa! tunafanya delivery!

Call / Whatsapp: +255 786 518 491


(Badili au acha idadi iliyopo hapa)