IKEDA Laundry Scent Beads

Min order ( 1 )
Tsh 15000

IKEDA Laundry Scent Beads – Blue Bell Scent ni chembechembe za manukato ya kufulia zinazoongezwa wakati wa kufua ili kuzipa nguo harufu nzuri na ya kudumu kwa muda mrefu. Zikiwa na harufu ya Blue Bell, huacha nguo zikiwa safi, zenye ufreshi wa kipekee na manukato ya kuvutia kila unapozivaa. Ni rahisi kutumia na zinafaa kwa aina mbalimbali za nguo.

Inapatikana kwa bei poa , tunafanya delivery!

Call / Whatsapp: +255 786 518 491


(Badili au acha idadi iliyopo hapa)