IKEDA Laundry Scent Beads

Min order ( 1 )
Tsh 15000

IKEDA Laundry Scent Beads – Sakura Scent ni chembechembe za manukato ya kufulia zinazoongeza harufu ya kupendeza kwenye nguo zako. Zikiwa na harufu ya maua ya Sakura, huacha nguo zikiwa safi, zenye ufreshi wa muda mrefu na manukato laini ya kuvutia. Ni rahisi kutumia na zinafaa kwa aina zote za nguo.

IKEDA Laundry Scent Beads inapatikana kwa bei poa, tunafanya delivery!

Call / Whatsapp: +255 786 518 491


(Badili au acha idadi iliyopo hapa)