COMFORT Vaporized Iron Water

Min order ( 1 )
Tsh 20000

COMFORT Vaporized Iron Water (1 Litre) ni maji maalum ya kutumia kwenye pasi ya mvuke (steam iron). Yameandaliwa kusaidia kulinda pasi dhidi ya madhara ya maji magumu (hard water) na kuzuia kutengenezwa kwa chokaa (lime scale) ndani ya mfumo wa pasi. Husaidia kuongeza maisha ya pasi, kuboresha utoaji wa mvuke na kuhakikisha nguo zinapigwa pasi kwa ufanisi zaidi. Kila chupa ina ujazo wa lita 1.


COMFORT Vaporized Iron Water inapatikana kwa bei poa! tunafanya delivery!

Call / Whatsapp: +255 786 518 491



(Badili au acha idadi iliyopo hapa)