New Downy Luxury Perfume

Min order ( 1 )
Tsh 28000

New Downy Luxury Perfume  inaongeza harufu nzuri kwenye nguo baada ya kufuliwa. inamanukato ya kifahari ya Lavender Calm, huacha nguo zikiwa na harufu safi, tulivu na inayodumu kwa muda mrefu. Mfumo wake wa concentrated fragrance husaidia kutoa manukato ya kiwango cha juu kwa kiasi kidogo, na kufanya nguo zako ziwe na hisia ya usafi na ubora wa kipekee kila unapozivaa.


New Downy Luxury Perfume inapatikana kwa bei poa! tunafanya delivery!

Call / Whatsapp: +255 786 518 491


(Badili au acha idadi iliyopo hapa)