IKEDA 3 in 1 Laundry Detergent Pods

Min order ( 1 )
Tsh 15000

IKEDA 3 in 1 Laundry Detergent Pods ni sabuni ya kufulia ya kisasa iliyowekwa kwenye capsule (pod) ndogo zinazoyeyuka ndani ya maji.  Kila pod ina sabuni ya kufulia, kinga dhidi ya bakteria, na uwezo wa kuondoa wadudu wadogo wa vumbi (mites), pamoja na manukato yenye harufu nzuri na ya kuvutia. pia ina stain remover na color protector kwa usafi wa kina, kuondoa madoa na kulinda rangi za nguo ,Kila kifurushi kina pod 18 zilizorahisishwa kwa matumizi ya kila siku, zikitoa usafi wa kina na kuacha nguo zikiwa safi, zenye harufu nzuri na salama kwa familia.


IKEDA 3 in 1 Laundry Detergent Pods inapatikana kwa bei poa ,tunafanya delivery!

Call / Whatsapp: +255 786 518 491


(Badili au acha idadi iliyopo hapa)